About-us

Blog hii ipo kwenye ukarabati na inalengo la kuwaelimisha jamii juu umuhmu wa vyakula katika kulinda afya zao.

Ndani ya blogi hii tunategemea kukusanya mawazo yawataalamu wetu kutoka sehemumbalimbali Tanzania na nje ya Tanzania kwa hakikisha kua unaipitia blogi hii kila siku ili kuweza kuapata kufunza mengi.

Alieiandaa blogi hii ni Abdallah na anawaunganisha wataalam tofauti ili kufikia dhamira na muelekeo wa blogi hii